CHUKIi!!

hapo red nashkuru sana kwamba hukunitaja jina.
Huyo wa buluu (ambae nafkiria ni CPU),nadhani hii inakuwa ni tabia za mtu, wapo watu wana tabia flani kwenye DNA zao ambazo ni tabu sana kubadilika, am sure ukimuangalia sana huyo mchuki wako utagundua hili, there is nothing much he/she can do abt it, solution wasiliana nae lakini usijienvolve nae too deep.
offu topik: uswahilini inabidi uhame tu hata kama sio kwasababu hii.
 
Aiseeee chuki yako ni bab kubwa, Labda ungejifunza kusamehe ili asikupe taabu hadi ya kuhama mtaa, maana utahama hapo halafu kesho atakufata hukohuko. jaribu kumface uongee lililo moyoni mwako, unajua lizzy kuongea kunashusha donge sana lililoganda rohoni.
 
to every action there is equal and opposite reaction.
mtu unayempenda sana, siku ukimchukia hyo chuki yake ni sawa na ule upendo unaompenda ila in opposite direction. hahahaa.
 

Ai kumbe good
 
Yani unanipa live sio??
Nwy sijawahi kujisikia nimepotea kama sasa hivi...siku zote hua naweza kusimama mwenyewe ila kwa mara ya kwanza naona kama nimezidiwa!!!
Mhhh upendo maradufu???I doubt it!!Asante lakini....ngoja nitafute jinsi ya kumjulisha!!

baby wangu LIZZY
Mi nakupenda sana, tena mpaka basi. Ndio maana naona bora NIKUPE LIVE japo kwa vidakika vichache hivi wakati unatafakari majibu yangu yalivyo machungu. Lakin najua kesho keshokutwa ukitafakari wazo langu utanipenda mara ZILION 100.

Ila angalia usimpende huyo mtu KIVILEEEEE maana utaniumiza mwenzio (ha ha ha ha)
 

Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!
Sina la ziada zaidi ya MASENKSI na MA-LIKE maana umeshamsoma bibie katikati ya mistari
😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:
 

Hahhah...Kloro sikuwezi...alafu ngoja nikubali kabisa kwamba nakupenda maana una mabusara gunia!!
Kweli huyu mtu nadhani ndivyo alivyo...hata akijitahidi vipi bado tu!!Ngoja nifanye mpango wa kuhama huku madongo kuinama maana naona sio saizi yangu aiseee...nakuja mtaani kwako!
 


I know hubby...ndo maana nakupenda hata kama Kloro anaweka uzibe!!
Ni bora ukweli unaouma maana utasaidia kuliko uongo unaofurahisha bila kuondoa tatizo!!
 
heheh acha nikajipige perfume halaf ndio nisome hapo red.
 
Pole sana mpenzi!
mueleze huyo mtu jinsi unavyojisikia juu yake na msamehe na uwachie mungu atakulipia kwa mema unayomfanyia
 
Pole sana Lizzy, ila the best solution si kuhama, hata ukihama bado utakuwa na hisia mbali tu kwake. Unachopaswa kufanya;
1. Msamehe kabisa kutoka ndani ya moyo wako
2. Kama huwezi funga na kuomba na muambie Mungu akuumbie moyo wa msamaha maana unapenda kusamehe lakini umeshindwa
3. Jitahidi kusahau kabisa as if nathing happened between you
4. The last but not least, tafuta siku uongee naye friendly na umuambie umemsamehe kwa aliyokutendea, ila ulikuwa unajisikia vibaya kila umuonapo japo ulisha msamehe, so umemuita ili kumuambia kwa mdomo ana kwa ana kuwa umemsamehe
5. Before hujamuita, muombe Mungu kwanza ili utakapoongea naye akuelewe, hata yeye anaweza ku-regret kwa alichokufanyia

Pole Mungu atakusaidia
 
Hii chuki lizzy inabidi udeal nayo maana isikunyime raha ya maisha kihivo, unajua unapata tabu wewe unayechukia mwenzako hata hana habari kabisa. kaeni chini muongee unaweza kuja gundua kumbe ni mtu mzuri sanasana
 
Pole Lizzy
Umekuwa kama mie jamani hii mikasa inamkuta kila mtu.
Nina Chuki na mtu mmoja wakati mwingine natoa machozi nikimuona
Siku moja nikawaza ningekuwa na uwezo ningemdo something!
Ila namuomba mungu anisaidie maana hili jambo linaweza fanya mtu kukosa kuurithi ufalme wa mungu
 

Asante sana mpendwa ntazingatia ushauri wako mwaya!!


Mama wa kwanza mi kumfikiria tu natamani kulia....yani basi tu!!
Pole na wewe mpendwa!!!:grouphug:
 
Pole lizzy hiyo huwa inatokea sana tu, cha msingi ni kujitahidi kumuomba Mungu umsamehe ukishafanya hivyo mengine atakayokua anafanya utakuwa unamuona wa kawaida sana. Ila kwanza msamehe
 
Wanaptuudhi ni wengi mno, na wengine ni wale wa karibu nasi
Raha jipe mwenyewe
 
If u love passionately, it hurts deeply when u fall out! I feel sorry for u coz that guy knws u will always be there for him-he is taking u for granted. He knws ur strong and weak points....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…