chukua..chukua..chukua..yote yako

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Yaani asikuambie mtu,mapenzi ni kitu kingine kabisa.iwapo tuliachana naye kwa maneno makali na kujiapiza hamna anayemuhitaji mwenzake lakini kila nikiskia huu wimbo wa "chukua yote yako" huwa namkumbuka X-GIRLFRIEND wangu.Mungu akubariki na kukuangazia mwanga wake popote pale ulipo.stasahau mazuri yako daima hasa sauti yako nyororo ya kubembeleza pale ulipokuwa unaniambia "chukua yote ni yako mpenzi wangu"no one like you.ntakukumbuka daima.Mia
 
Reactions: BAK
Wangekua woote wanaoacha/achana wanafikiria hivi.... mmmmh! It means hakuna kuachana mkionana kosa!
 
Kama ulimkosea kamuombe msamaha ili uendelee kupewa maneno uloyamis kwn sio kesi na maisha lazma yaendelee.
 
Wangekua woote wanaoacha/achana wanafikiria hivi.... mmmmh! It means hakuna kuachana mkionana kosa!

inasikitisha sana mdomo unakufanya mtengane na mtu mliozoeana na kushare good moment pamoja.hasa siku kama hizi za wkend ambapo anaweza kesho utavaa nini huku mbele yako kukiwa na lundo la nguo chafu huku mchana umekula chips na soda.mia
 
ina mana basi bado wampenda na hujakutana na akakupagawisha kama alivofanya yy
 
Kama ulimkosea kamuombe msamaha ili uendelee kupewa maneno uloyamis kwn sio kesi na maisha lazma yaendelee.

naomba uniwakilishe mkuu coz ni rafiki yako.kama vp nambie ka utansaidia.mia
 
Sa c ukambembeleze 2 mrudiane au?
 
mkuu hadi nashindwa nikujibu nini manake...we acha tu.mia

Ulimfanyia dharau ukamtajia Dada wa JF hapa, sasa naona huyo Dada wa JF amekuwa sumu kwako umuonapo unammwagia kashfa

Acha hizo, sio ustaarabu
 
Mpwa, pole ila Wahenga walisema "There is no future in the Past"

asante mpwa lakini kumbuka usisahau njia ulopitia wakati unakuja.yaani nahisi kama moyo wa upendo kwake unajirenew na kusahau mabaya yote.mia
 
pole sana mkuu,hii inaonesha ulimpenda sana my x gelfrend wako,ndio ukubwa utampata my gelfrend mwengine. Nalog off
 
ina mana basi bado wampenda na hujakutana na akakupagawisha kama alivofanya yy

siku zote mapenzi ni ya wawili.kadili siku zinavyosonga moyo wangu unazidi furika penzi lake.hofu yangu ni kwake.je yukoje huko aliko?mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…