Chukua hatua kwa uvimbe wowote unaotokea mwilini.

Chukua hatua kwa uvimbe wowote unaotokea mwilini.

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
Ukuaji wa tishu mpya mwilini (Neoplasia) ni uvimbe usio wa kawaida ambao ukuaji wake haujaratibiwa na tishu za kawaida na huendelea kuleta mabadiliko.

Mara nyingi vimbe hizi hujulikana kama ''tumour''. Utafiti na uchunguzi wa vimbe mpya mwilini (oncology) ndio hubainisha kama vimbe hiyo ni saratani ''malignant tumours'' au ni vimbe isiyo ya saratani ''benign''.

Vimbe inaweza kuwa mbaya na kuashiria uwepo wa kansa kutokana na sifa zake. Chukua hatua kwa uvimbe wowote unaokutokea mwilini.

Zungumza nasi, ushauri ni BURE: WhatsApp link occdoctors

cyst-vs-tumor-lipoma-tumorgrowth.jpg
 
Back
Top Bottom