Mkuu, hawa wajinga ndio wanaofanya wajibiwe kwa dharau na kejeli kwasababu ya huu utopolo wao, halafu utopolo mwenzao mmoja anapenda sana kuwatetea eti wanaonewa.Acha kupotosha kwa mafikirio yako
Maana ya mkataba ni nini? Terms of contract kati ya vunja bei na SSC zinasomaje?
Maswala ya mikataba siyo ya kukurupuka kama unavyoaminisha umma
Sasa msemaji kasema zimekwama kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao wewe mbugila usiejua chochote unakuja na mambo ya usiri? Usiri gani walionao hao jamaa zako? Suala la jezi lina cha usiriMaswala ya mkataba ambao hela imehusika hayanaga upumbavu na taarabu unazoleta hapa, shida ni kwamba mambo ya Simba sc kwasasa ni confidential mno kiasi ambacho hamkutarajia.
Sasahivi kila outsider hajui lolote kuhusu jezi wala mpnago wake ndiomaana kila mtu anajaribu ku-formulate assumptions za kibyutibyuti.
Kwa hiyo unafikiri msemaji anaweza kusema hadharani kuwa kuna ishu za kimkataba ndizo zimechelewesha jezi?Kwahiyo msemaji kusema kuwa kuna tatizo lililo nje ya uwezo wao, ndio tu conclude mleta Uzi yuko sahihi?
Achana na majinga hayo uzi tarehe 6 au usiku wa kuamkia siku hiyo tugawane publicity ya trh 6Kwahyo ni kweli?!
Simba hawaendi kwenye fashion show ,hiyo ni kazi ya ma v x fcJersey yenyewe ndo hizi zilizovuja!?
Mbaya tu, hazina ubunifu wowote
Kwahiyo hizo poroja za kudai kwamba Vunjabei haelewani na CEO, mara CEO alienda kwa Sheria Ngowi..mara oooh Boss akampigia CEO kumpa amri akubali design ya Fred, ndio hizo changamoto alizosema msemaji?Sasa msemaji kasema zimekwama kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao wewe mbugila usiejua chochote unakuja na mambo ya usiri? Usiri gani walionao hao jamaa zako? Suala la jezi lina cha usiri
Kama ni mashitaka peleka taarifa zako kituo chochote cha polisi utasikilizwaHakuna cha confidentiality, huwezi ukarisk kwenda simba day na jezi za zamani kisa usiri. Msemaji wenu amekiri kuna shida na wanapambana jezi zitoke kabla ya simba day.
Unataka jersey ziwahi ili uzifanyie nini?
Muongo bhana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahyo ni kweli?!
Mkuu jezi sio mitihani ya mid term kwamba unaweza tunga leo na leo leo ukachapa na wanafunzi kesho wakaifanya.Kwa kifupi HATUTAKI KUTOA MAJENZI MABAYA KAMA YENU.
Umetoa wapi hii habari?Taarifa ya uhakika ni kwamba Jezi zimeshafika na tayari watu wa Customs washaruhusu mzigo baada ya malipo muhimu.
Mzigo haujatoka Ulaya, Mzigo hauna tofauti sana na jezi wanazovaa sasa hivi. Kwa wataalam wa fasheni wameenda mbali na kudai soko la jezi za msimu uliopita litakuwa kubwa sana.