Chukua hii kwa faida yako, tumia jivu kupambana na utitiri wa kuku

Chukua hii kwa faida yako, tumia jivu kupambana na utitiri wa kuku

Muhabeshi

Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
15
Reaction score
72
Kama wew ni mfugaji wa kuku na unahangaika wadudu waitwao utitiri, basi suluhu ya jambo hili jepesi isiyokuwa na gharama.

Ni jivu la moto iwe la mkaa au kuni.

Namna ya kutumia waweza kulimwaga chumba ama banda lote pale unapomaliza unapofagia kila siku mpaka hali itakata yenyewe.
 
Asante.

kuku ni utajiri kuliko ht ng'ombe
Acha dharau kwa ngombe wee kijana ?
Ngombe anauwezo wa kukupa pesa daily asbuhi na jioni mwaka mzima na kila mwaka akatoa ndama wee acha dharau
 
Back
Top Bottom