Chukua kadi ya Chadema sasa hivi kwani yajayo ni matamu!

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Hasa kwa wale wenye ndoto za kuja kuwa viongozi wa nchi hii hasa 2025, mnisikie, please chukua kadi tawi lililo karibu na wewe sasa, ukisubiri utakuwa umechelewa. Yajayo ni matamu!...
 
hizi ambazo zinaonekana kwenye dampo za taka na majalalani hazifai?

mgombea urais upinzani kujulikana siku 30 kabla ya siku ya kupiga kura 🐒

labda mshinde njaa 🤣
 
Hasa kwa wale wenye ndoto za kuja kuwa viongozi wa nchi hii hasa 2025, mnisikie, please chukua kadi tawi lililo karibu na wewe sasa, ukisubiri utakuwa umechelewa. Yajayo ni matamu!...
Ndoto za jua la utosini
 
Hasa kwa wale wenye ndoto za kuja kuwa viongozi wa nchi hii hasa 2025, mnisikie, please chukua kadi tawi lililo karibu na wewe sasa, ukisubiri utakuwa umechelewa. Yajayo ni matamu!...
Mnatulipa shillingi ngapi kwa kuchukuwa kadi zenu?

Hakuna cha bure siku hizi.
 
Babu Slaa arudi tuu ingawa huwa haelwekiii sssa huyu babu
 
Hasa kwa wale wenye ndoto za kuja kuwa viongozi wa nchi hii hasa 2025, mnisikie, please chukua kadi tawi lililo karibu na wewe sasa, ukisubiri utakuwa umechelewa. Yajayo ni matamu!...
Kama mwenyekiti ni yule yule siwezi kumchukua kadi. Ni Bora nibaki na haya haya majizi ya CCM
 
Safi sana,mkomoe mwenyekiti.... dadeki,hadi aje akuombe msamaha,maana kwanza una maisha mazuri kumzidi mwenyekiti na makamu wake,ndugu zako hawaathiriki kwa lolote na WEZI dadeki... komaa mwwnangu.CCM mbele kwa mbele,Gekule Oyeee.
 
CCM wakimsimamisha SSH kuna kila dalili za mambo kuwa magumu mno, wazalendo wamepoteza imani nae. Lakini bado naiona CCM ikoshinda kwasababu ya tamaa na kutojielewa kwa wapinzani.
 
Hasa kwa wale wenye ndoto za kuja kuwa viongozi wa nchi hii hasa 2025, mnisikie, please chukua kadi tawi lililo karibu na wewe sasa, ukisubiri utakuwa umechelewa. Yajayo ni matamu!...
Ujinga 🗑️🗑️
 
Back
Top Bottom