Hivi sasa kumekuwapo na utitiri wa APPS za mikopo mitandaoni ambazo kwangu naamini ni za kitapeli na au zitaleta utapeli.
Apps hizi hazina usajili Wala address ya uhakika.
Wengine wanakuambia ingiza pesa ya usajili kiaasi kadhaa kwa mujibu wa kiwango unachotaka kukopa,Kisha ukisha tuma ndio huwapati tena.
Zipo zinazokuidhinishia mkopo wa kiasi Fulani Lakini pesa inayoingizwa ni nusu au juu kidogo ya nusu ya mkopo huo, na ukatakiwa urejeshe mkopo mzima pamoja na riba.
Mikopo mingi ni ya kurejesha chini ya siku 7.
Chukua tahadhari.