Juzi rafiki yangu alipakua app Sasa baada ya kujiunga akaambiwa atume kwanza elfu 7 ili apate mkopo. Nikamwambia ni matapeli hao.Hivi sasa kumekuwapo na utitiri wa APPS za mikopo mitandaoni ambazo kwangu naamini ni za kitapeli na au zitaleta utapeli.
Apps hizi hazina usajili Wala address ya uhakika.
Wengine wanakuambia ingiza pesa ya usajili kiaasi kadhaa kwa mujibu wa kiwango unachotaka kukopa,Kisha ukisha tuma ndio huwapati tena.
Zipo zinazokuidhinishia mkopo wa kiasi Fulani Lakini pesa inayoingizwa ni nusu au juu kidogo ya nusu ya mkopo huo, na ukatakiwa urejeshe mkopo mzima pamoja na riba.
Mikopo mingi ni ya kurejesha chini ya siku 7.
Chukua tahadhari.
Duh uko vizuri mkuuNmewadanganya mimi professa wameanzia na laki
Shwaaa
Nikopee na mie.Nmewadanganya mimi professa wameanzia na laki
Shwaaa
Ngapi watakaNikopee na mie.
Utalipa milioni,niliyekupa mkopo nakusoma hapaNmewadanganya mimi professa wameanzia na laki
Shwaaa
Mzee mbona una bifu na wakopajiNi fursa, Serikali inaenda kuunganisha mifumo isomane. Line ya simu-NIDA-BRELA-TRA-BANDARI-BOT-CRB.
Ni suala la muda ila itafika kipindi ukikopa usipolipa huna pa kujificha maana CRB wakishapost kuwa wewe si mlipaji basi hutakopesheka popote na anayekudai atakupata kirahisi tu maana hata line ya simu hutoweza badili na ikitokea mahakama ikipewa rungu la kuzuia miamala yako ya simu ili kulipa deni ndo hitimisho la kilio cha wakopaji wasiolipa.
Jamaa hawajali risk ya watu kutolipwa na app zimekua nyingi
- One mkopo
- Pesa x
- Branch
- Mkopo wako
- 24/7 mkopo
Kila ukiwacheki hawa jamaa wanakupa hapo wanaanza na 10,000/=
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Nalipa badae nikiwafksha milioni mtaona sasaUtalipa milioni,niliyekupa mkopo nakusoma hapa
Tano bila nukta.Ngapi wataka
Ngoja nkope tenaTano bila nukta.
Mie nimepigwaa 84 juz Sina Hali kabisaNgoja nkope tena
Wamekupigaje tenaMie nimepigwaa 84 juz Sina Hali kabisa
Watu wanaoharibu uchumi wa watu wa chini ni watu wa aina mbili.