Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Hivyo usitegemee mi ni wa kupatia tuu kila kitu..Ndio nafanya makosa lakini .... maisha hayaji na maelekezo."
Japo inategemea...!Chukua jukumu la furaha yako mwenyewe, usiweke kamwe mikononi mwa watu wengine.View attachment 2522456
Hakika…View attachment 2522432
Amani inakuja na kwaheri za kutosha
✅✅👌View attachment 2522435
Kujiondoa katika hali ambapo huhisi kupendwa, kuthaminiwa na kuheshimiwa ni aina ya kujijali.