Chukulia kwamba we ni mzazi wangu

Chukulia kwamba we ni mzazi wangu

Ford89

Senior Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
128
Reaction score
15
I'm a teenage boy(11-19)
chukulia kwamba we ni mazazi wangu,umepata ushahidi kwa kadi au barua au msg kwenye simu yangu kwamba nina demui.
We kama mzaz wangu tanikataza nisiwe na demu,au utanishauri kitu gani na kuniambia nn?
 
Bado kijana mdogo soma kwanza na shililia elimu yako masuala ya mapenzi hata kwa kufikiria bado
Nitakalokuambia kanma mzazi ni soma kwa bidii shikilia elimu yako na achana na haya mambo kuna magonjwa mengi sana. Na bado u kijana mdogo kujihusisha na mapenzi
 
Ntaanza kukufundisha amri 10 za Mungu,na ntakuelewesha maana ya ile ya kwanza hadi ya mwisho.(i will tell u that we always do the right thing even when no one is watching..though God is watching you)
 
Itanipasa nikupe elimu ya afya ya uzazi kwanza ambayo itakuwa uelewa wa jambo unalofanya,madhara ya kuanza mapema kufanya hiyo kitu, na namna ya kujiepusha na madhara ya unachokifanya,then nitakushauri uyache kwanza na uzingatie masomo,kama hukunielewa nitakutafutia wataalamu ambao naamini watakuelewesha nawe utaelewa.
 
Mbona mwanzisha siredi kakimbia mbio hivyo hata kuja kujibu
 
nichukulie performance yako ikoje darasani kabla na baada ya kuanza hayo maniaje????
jibu hilo kwanza, ushauri wangu utategemea na jibu utakalolitoa...
 
we mtoto we,kwanza nani kakuonyesha barabara ya kuingia humu ndani? at 11 unataka wanawake? unajua kondom zinakouzwa? una hela ya kununulia? shika adabu yako,tulia soma,mengine utayakuta ukiwa mkubwa,haraka ya nini? umesikia? nipe namba za simu za wazazi wako.
 
Nitakuchapa viboko kadhaa kabla sijakupa nasaha za msingi kwani umri wako bado ni mdogo sana
 
Aisee.....nitakutia bakora 12, 6 on the spot, 6 nyingine mbele ya hicho kishtobe....
 
we mtoto we,kwanza nani kakuonyesha barabara ya kuingia humu ndani? at 11 unataka wanawake? unajua kondom zinakouzwa? una hela ya kununulia? shika adabu yako,tulia soma,mengine utayakuta ukiwa mkubwa,haraka ya nini? umesikia? nipe namba za simu za wazazi wako.

Tobaaaaaa aaaaaaaaa!!!
 
Aisee.....nitakutia bakora 12, 6 on the spot, 6 nyingine mbele ya hicho kishtobe....

Haa haaaa haaa we kaizer sasa ukikivunja nani atamlipia matibabu ...umenichekesha sanaa eti kishtobe..
 
Haa haaaa haaa we kaizer sasa ukikivunja nani atamlipia matibabu ...umenichekesha sanaa eti kishtobe..

Unajua, viboko havivunji, so hakuna issue ya matibabu apo...atajikuna tu
 
Simu yako nauza, hela nameza halaf nakurejesha kijijini. Pambaaf!
 
Back
Top Bottom