Mbona mwanzisha siredi kakimbia mbio hivyo hata kuja kujibu
Kabisa na hapo mpaka simu amezima kabisa mpaka amalize kipindiHaa haa bila shaka atakuwa darasani huyo hadi jioni akitoka...
we mtoto we,kwanza nani kakuonyesha barabara ya kuingia humu ndani? at 11 unataka wanawake? unajua kondom zinakouzwa? una hela ya kununulia? shika adabu yako,tulia soma,mengine utayakuta ukiwa mkubwa,haraka ya nini? umesikia? nipe namba za simu za wazazi wako.
Aisee.....nitakutia bakora 12, 6 on the spot, 6 nyingine mbele ya hicho kishtobe....
Haa haaaa haaa we kaizer sasa ukikivunja nani atamlipia matibabu ...umenichekesha sanaa eti kishtobe..
Simu yako nauza, hela nameza halaf nakurejesha kijijini. Pambaaf!
Jahazi wanatafta muimbaji mpyawanchekesha. Source, faiza.