Leo naomba nifahamishwe kuhusu hiki chuma cha JEKI ambacho kinanyanyua gari ambalo haliendani na umbo la kifaa hiki. Hivi chuma cha JEKI kimetengenezwa na material gani maana mambo kinayofanya nastaajabu.
Aisee halafu kweli.
Wale wa mechanics/physics plz tuelewesheni kwa mtiririko mzuri na kwa lugha nyepesi.
If this is possible...then naamini haishindikani kujenga a million dollar empire from small amount of funds in a different field with special financial techniques.