LAPUA MAGNUM 338
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 431
- 1,223
Habarini wana jukwaa, napenda kupata muongozo kuhusu hii biashara ya vyuma chakavu je inaitaji mtaji kiasi gani kuifanya, hapa nina maana ya kwamba mimi niko mkoani, nifungue ofisi ya kununua vyuma chakavu mzigo ukijaa uchukuliwe kupelekwa dar, naomba mwenye uzoefu na hii kitu anipe muongozo naona kama inalipa na haina wafanya biashara sana, asante.