Chuma hiki; Hyundai Azera, affordable sportcar

Scolari

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
1,721
Reaction score
2,383
Chuma hiki
Hyundai Azera 2017-2021

Nina matarajio within 5-7 years kua na usafiri huu wa chuma hiki hyundai azera
Baada ya kuifuatilia nimeona machache kwa wadau kama haya hapa
Kwanza ni sport car ambayo ni affordable(sportcar ni stable)
Ni chuma kwelikweli
Iko vizuri kwenye mwendo
Ina muonekano bomba
Ni almost 21000-31000 $
Unaweza tembelea link hii ukaitazama vyema



 
Hiyo bei ni kabla hujakutana na vijana wa Mwigulu Mchemba kukukosesha amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…