SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Wakuu heshima kwenu. Hivi karibuni nimesikia watuhumiwa wa ufisadi na uhujumu uchumi singasinga Harbinder Sethi na Manji Yusuf kuwa ni wagonjwa na wanahitaji matibabu ya haraka kutokana na kuwekewa visaidizi katka miili yao.
Swali langu kwenu wana JF doctor hivi vitu kazi yake nini hasa !?? Na je ni "puto" na "chuma" navyovijua mimi au!!?. Ni hayo tuu.
Swali langu kwenu wana JF doctor hivi vitu kazi yake nini hasa !?? Na je ni "puto" na "chuma" navyovijua mimi au!!?. Ni hayo tuu.