paka chongo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2016
- 248
- 193
Nilipata ajali miaka 4 iliyopita ya mguu sehemu ya goti ilipelekea ni fanyiwe upasuaji mkubwa maana na kumbuka nilipigwa nusu kaputi kwenye mida ya saa 1 asubuhi Ila kuja kuzinduka ulikuwa saa mbili usiku hapo muhimbili,point ni kweli ukikaa na ichi chuma mda mrefu Nini athari zake?