paka chongo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2016
- 248
- 193
Kuna kikohozi kikavu Cha mda mrefu akipon nahisi ni moja wapo ya athariMiaka 8 na chuma kwenye paja ila nadunda tu na mwaka 2018 nilibeba mimba na nikajifungua fresh kbs.
Mimi Sijawahi kupata kikohozi Cha namna hiyo.Kuna kikohozi kikavu Cha mda mrefu akipon nahisi ni moja wapo ya athari