Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 309
Buguruni????Niaje wakuu!
Naomba kuelekezwa, au kuunganishwa na mtu anayeweza kunisaidia kupata chumba cha elfu20 (20,000/=) au chini ya hiyo.
NB: Hata kama hakina umeme wala rangi fresh tu!
Ndiyo nataka niwe karibu na karume na kkoo, means naweza kutembea kwa mguuBuguruni????
Ndiyo mkuu😔kikubwa hunyeshewi mkuu,
Hapo sawa, kama hiyo ndio target yako.Ndiyo nataka niwe karibu na karume na kkoo, means naweza kutembea kwa mguu
Daah kwahiy unataka atumie kiswaswadu ili iwejeeNa unatumia smartphone
Usikariri mkuu...sio kuwa na simu ndo unapata access ya kila kituNa unatumia smartphone
Kupanga kwa mwezi mkuuCha Lodge au kupanga kwa mwezi??
Kwanini mkuu??Ujiandae kulala na mwavuli
Hiyo bei sio poa kabisa. Kwa nn usitafte kekoKwanini mkuu??
kwa bei hii nenda keki toroli lazma upate maeneeo hayo nakuhakikishia na n karb na k koo na karume vle vileNiaje wakuu!
Naomba kuelekezwa, au kuunganishwa na mtu anayeweza kunisaidia kupata chumba cha elfu20 (20,000/=) au chini ya hiyo.
NB: Hata kama hakina umeme wala rangi fresh tu!