Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 309
- Thread starter
-
- #21
Manzese sehemu gani?Kipo manzese
Njoo na hela ya mwezi
Nina 20 mkuuSpenco unapajua mkuu pale iko buguruni mnyamani kuna nyumba iko karibu na yale mabwaswa ya maji taka kuna room pale buku 25 uko tayari
Keki toroli iko wapi mkuu?kwa bei hii nenda keki toroli lazma upate maeneeo hayo nakuhakikishia na n karb na k koo na karume vle vile
We ni mgeni jijini,hayo maeneo wanayokutajia sikushauri,mbona ilala au malapaunapata room kwa 30000Keki toroli iko wapi mkuu?
Iko keko mkabala na chuo Cha veta chang'ombe ni karibu sana unapita darajani unatokea karume au unanyoosha Moja kwa Moja kma unaenda magomeniKeki toroli iko wapi mkuu?
keko maduka ma2 hapo. ukitoka serengeti unaingia keko maduka ma2Keki toroli iko wapi mkuu?
Okaykeko maduka ma2 hapo. ukitoka serengeti unaingia keko maduka ma2