House4Rent Chumba cha biashara(Fremu) Inapangishwa

House4Rent Chumba cha biashara(Fremu) Inapangishwa

Embassy

Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
36
Reaction score
16
Hello Hello Dodoma
Hii hapa nawaletea kwenu.
FREMU Chumba cha biashara kizuri sanaaa.
Kipo Dodoma mjin katkat
Kina milango pande mbili
Panafaa kwa Ofis ama aina yeyote ya Biashara
Mfano.
_nguo
_vipodozi
_urembo
_stationary
_vyakula na vinywaji Au local finance (uwakala wa Bank)
_dawa za binadamu ama mifugo
_spea
_Vifaa vya umeme. ujenzi.
Ofis mfano
Wanasheria. Uhasibu. Ulinzi. Bima. Au Ofisi yeyote

#mawasiliano zaid
#call_watsapp
0718436694 au 0628300161

Njoo uone flem na eneo lilivyo tuzungumze Biashara

Site visit elfu 10
Malipo ya kaz Kod mwezi 1 kamili.

Funguo nnayo mwenye.

InShot_20220224_020125219.jpg
 
Hello Hello Dodoma
Hii hapa nawaletea kwenu.
FLEM Chumba cha biashara kizuri sanaaa.
Kipo Dodoma mjin katkat
Kina milango pande mbili
Panafaa kwa Ofis ama aina yeyote ya Biashara
Mfano.
_nguo
_vipodozi
_urembo
_stationary
_vyakula na vinywaji Au local finance (uwakala wa Bank)
_dawa za binadamu ama mifugo
_spea
_Vifaa vya umeme. ujenzi.
Ofis mfano
Wanasheria. Uhasibu. Ulinzi. Bima. Au Ofisi yeyote

#mawasiliano zaid
#call_watsapp
0718436694 au 0628300161

Njoo uone flem na eneo lilivyo tuzungumze Biashara

Site visit elfu 10
Malipo ya kaz Kod mwezi 1 kamili.

Funguo nnayo mwenye.View attachment 2133500
Poa mkuu
 
Kilemba laki 8 ndio kitu Gani?!
malipo yalio nnje na Kod kama gharama za milango ya aluminium na baadhi ya gharama alizotumia mpangaji alokuepo awali ambaye kwa sasa ndio anaachia flem.
 
malipo yalio nnje na Kod kama gharama za milango ya aluminium na baadhi ya gharama alizotumia mpangaji alokuepo awali ambaye kwa sasa ndio anaachia flem.
Aisee...hili neno umelibuni wewe,ushauri...usitumie Misamiati kwenye Matangazo ya Biashara!
 
Kwa mkazi wa Dodoma nikiwa na hizo picha na location ipo naitafuta nusu saa naiona. TRA/NBC DIAMETER YA MITA300 naikuta faster hata kwenye boda sishuki soo so hio 10k yakunitembeza unaikosa
 
Back
Top Bottom