Chumba cha honey moon

Pomole

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
257
Reaction score
7
Hivi chumba cha fungate kinatakiwa kiweje?Hiki ni chumba kilichotumiwa na wanandoa fulani kwa ajili ya fungate yao yaani honey moon!!!Kuna sababu gani zinazowapelekea kuchukua chumba cha vitanda viwili wakati wameshakuwa mwili mmoja?
 

ninavyojua kinatakiwa kiwe na kitanda kikubwa kimoja, shuka nyeupe,na mazagazaga mengineyo mengi kulingana na standard ya hotel
 
na wafua mashuka wawepo wakutosha kila siku,hilo umesahau.
 
Kitanda kimoja wakitaka kupiga stori kingine wakitaka kunjunjana.
 
Baadhi ya vyumba vya honeymoon













 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…