Njoo inboxNdizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa wakati mmoja bila kuharibika.
Kwa Tanzania wapi ninaweza kupata mtaalamu wa kudesign hizo chamber, maana kuagiza china na india ni parefu.
Mafundi wa cold rooms mje hapa
Kwani Ripening chambers ni Cold rooms?Mafundi wa cold rooms mje hapa
We biashara itakushinda, haya subiria wataalamusiyo container tupu, ndani kuna mifumo imefungwa ya kuwezesha kuchochea ethylene ili matunda yaive kwa wakati mmoja