Vipo boss wangu tatizo wewe uko ushuani lkn maisha ya Dar yako pia Arusha, karibu kwetu Ngarenaro ushuhudieLakini unakuta cha wastani sio kikubwa kihivyo.
80 hiyo hata Njiro anapata ila sasa sehemu zingine mvua ikinyesha nje unapachukia ilo tope.
Ugumu unakuja kwenye furnitures na vitu vitu vya aina hiyo, ila maisha ni kawaida tu ila ukawaida wake hauwezi kuwa the same na Dar. Dar mtu anapika ugali anatoka nje kununua dagaa mchele mchana umeisha. Ila Arusha sasa hamna hiyo
Wasikutishe boss wangu karibu Arusha tupambane na maishaKama kina jiko sio mbaya ila hapo kwenye tope sasa
Watu huwa wanawatisha watu wengine kuwa huku maisha ni ghali sana ila kama alivyosema mdauAlaaa kumbe, basi mimi hakuna mkoa nauogopa kama Arusha
Hata mjini kwa kutembea dk 3 umefika kituoni na gari moja hadi mjini kati vipo. Ila ndiyo uwezi linganisha ubora wake na vile vya 50 vya DarOoh really? Pembeni sana ya mji lakini si ndio?
Hahaha sasa umejuaje Mbona unamuhukumuNingekuunganisha mahali kuna nyumba mpya ndio zimejengwa singo self lakini naona kama wewe ni wale wapangaji wasumbufu u much know sana.
Nitakuja bossWasikutishe boss wangu karibu Arusha tupambane na maisha
Ooh sawaHata mjini kwa kutembea dk 3 umefika kituoni na gari moja hadi mjini kati vipo. Ila ndiyo uwezi linganisha ubora wake na vile vya 50 vya Dar
Ushuani gani kule mwisho daladala saa mbili 😀Vipo boss wangu tatizo wewe uko ushuani lkn maisha ya Dar yako pia Arusha, karibu kwetu Ngarenaro ushuhudie
Hapo unga ndio napaogopa kama nini nikisikia habari zake, sidhani kama naweza kukaa hata kama halo yangu inanitaka nikae hukoWatu huwa wanawatisha watu wengine kuwa huku maisha ni ghali sana ila kama alivyosema mdau
Maisha ya Arusha hutofautiana kulingana na kipato cha mtu
Mtu anayeishi Njiro, Burka, Sakina ni tofauti na maisha ya mtu anayeishi unga au matejoo ni dunia mbili tofauti kabisa kuanzia lifestyle mpk maongezi
Hata sijakuelewa kiongozi maana umeelezea kana kwamba tupo pamoja huku naona unachoelekeza sasa unaposema tukavuka kimto huku mito ni mingi na pia lini mkuu tulikuwa pamojaHivi huku Matejoo Mjep si ndiyo kule tulienda hadi tukavuka kimto fulani hivi au kule ni wapi. Kule nako jamani [emoji144]
Hujaona tag hapo mzee baba? Tag haikuwa yako mkuu. Sorry kwa usumbufuHata sijakuelewa kiongozi maana umeelezea kana kwamba tupo pamoja huku naona unachoelekeza sasa unaposema tukavuka kimto huku mito ni mingi na pia lini mkuu tulikuwa pamoja
Zamani hayo mambo ndio yalikuwepo ila siku hizi hakuna kitu kama hicho....vijana wengi wa dizaini hiyo waliuawawa katika mitaa mingi ya arushaHapo unga ndio napaogopa kama nini nikisikia habari zake, sidhani kama naweza kukaa hata kama halo yangu inanitaka nikae huko
Nyoosha maelezo dogo siyo ujing'ate ng'ateHujaona tag hapo mzee baba? Tag haikuwa yako mkuu. Sorry kwa usumbufu
OkHujaona tag hapo mzee baba? Tag haikuwa yako mkuu. Sorry kwa usumbufu
Kiswahili sio kigumu namna hiyoNyoosha maelezo dogo siyo ujing'ate ng'ate
Mimi ni mkazi wa dar ila kuna mishe inayokuwa inanipeleka A town mara kwa mra so nimeona kufikia logde kila mara ni bora nikapata room ili ninapokwa chuga nisiende lodgeWe are African. Kama uko mjini na mdogo wako anataka kuja mjini kujiendeleza kielimu utamlaza guest house?