Ukipata nyumba sanawari au Mianzini.... Kule Kuna mpaka vyumba vya 25,000 Ni wewe tuu.... Ila angalia ukaribu na barabara....Hv gharama za kupanga chumba maeneo ya chuo cha ufundi arusha zikoje
au maeneo tofaut amby nauli yake haiwez kuzid mia tano kuelekea arusha technical college