Elfu 30? Kahama? Labda nje ya mji,ambapo nauli haipungui 2000 kwenda na kurudi. Hiyo tayari inaingia si chini ya 80 kwa mwezi. Jumlisha kodi ya 30 elfu,laki na 10 hiyo.
Kwa nini usitafute hata cha 50? Ili uwe unaenda kwa mguu uendapo kwenye shughuli zako?
Au utaje wapi utakuwa unafanyia shughuli zako,tujue utasaidiwaje.