Habari wakuu. Nawatakia nyote kheri ya mwaka mpya.
Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi kwa miezi mitatu ya mwanzo.
Mwenye nacho naomba tuwasiliane.
Asante