Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,416 Reaction score 12,618 Nov 18, 2016 #1 Wadau; Chumba cha kupanga kinatafutwa, maeneo ya Ubungo mpaka Kimara Mwisho 1. Chumba Kiwe Na Umeme Na Maji 2. Kisiwe Mbali Na Barabara 3. Kikipatikana chenye choo ndani au choo cha kujitegemea ni sawa 4. Bei isiwe ya kutisha
Wadau; Chumba cha kupanga kinatafutwa, maeneo ya Ubungo mpaka Kimara Mwisho 1. Chumba Kiwe Na Umeme Na Maji 2. Kisiwe Mbali Na Barabara 3. Kikipatikana chenye choo ndani au choo cha kujitegemea ni sawa 4. Bei isiwe ya kutisha
essaugervas JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 580 Reaction score 280 Nov 18, 2016 #2 4.kwa msisitizo kabisa