ninachumba single, choo nje, cha ndani kuna corridor kipo kinondoni B kituo cha kanisani maarufu kama biafra, unaingia kidgo ndani kama unakwenda mwananyama, kma uko tayari nicheki umeme wa kushare maji yanatoka mara moja au mbili kwa wiki, kipo kidgo uswahili ingawa sijui utapenda? kwa hamsini haipungu ata thumuni 0719666099