Kipo Chama nichek ka vp!Habarini ndugu zangu..
Ninaomba tuwasiliane mwenye mwenye chumba cha kupanga maeneo ya mikocheni B, Chama au Msasani.
Chumba kiwe self (kikiwa na sebule itapendeza)
Maji uhakika..budget 150k self bila sebule na 200k na sebule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipo Chama nichek ka vp!
Nimemcheck hayupo seriously!Ameshakuchek? Amelipia?
Unacho Chumba,au unatafuta?Ameshakuchek? Amelipia?
Unacho Chumba,au unatafuta?
Poa,vyumba vipo vingi vijana wapo likizo ndefu.!!Nitakuchek unitafutie napokaa nimebakiza miezi miwili. Sema mitaa yangu ni inacheza around UDSM.