Chumba cha Maabara: Kongole kwa Mo Jay

Chumba cha Maabara: Kongole kwa Mo Jay

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Kama Bichwa la Habari lisemavyo. Kipindi tajwa hapo juu kina saidia sana kuvumbua aaina ya mahusiano ambayo vijana wanapitia.

Jana nimesikiliza kisa cha dada mmoja alikutana na jamaa ambaye alikuwa mteja wake katika bandaa la chakula cha mdada wa watu, wakaanzisha mahusiano, kila wakikutana kuvunja maagizo ya Mungu wana kutania lodge. Dada akaanza kudai apajue kwa jamaa, jamaa anapiga vyenga.

Dada wa watu akatafuta kazi mkoa mwingine, jamaa likamdanganya dada wa watu arudi mjini anataaka kumuoa 😃😃 mwamba kumbe ana familia anamzuga tu

Sasa ndio akaitishiwa chumba cha amaabar ebwanaa eh jqmaa lika kamatika.

Swali langu ni je wale ambao wanataka kuyapima mahusiano yao baada ya vipimo kutoka sijui wana kuwa ktk hali gani

Ila kongole sana kwa mtangazaj kwa kubuni kipindi konki sana.
 
Back
Top Bottom