House4Rent Chumba Choo ndani Mbezi Beach

Dalali Alpha

Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
89
Reaction score
60
Mahali: Mbezi Beach Makonde,
Kodi ya Mwezi: Tshs 120,000
Malipo ya Miezi: 3 au 6

Ipo karibu sana na kituo cha daladala, dakika moja upo kituoni.
Maji ya bomba/dawasa masaa 24, Uzio na geti, egesho la usafiri lipo Usalama wa kutosha.


Maelezo zaidi: 0716442950

 
Hawa majamaa huwa wanazungukana mkuu, mie nimetoa tangazo mda Fulani Cha ajabu Nyumba moja natumiwa na madalali sita na Kila mmoja na bei yake nami nawacheki tu
Duh...madalali sita!? Hiyo chain ni ndefu sana
 
Hawa majamaa huwa wanazungukana mkuu, mie nimetoa tangazo mda Fulani Cha ajabu Nyumba moja natumiwa na madalali sita na Kila mmoja na bei yake nami nawacheki tu
Hahaha ndio maana wanarogana
 
Duh...madalali sita!? Hiyo chain ni ndefu sana
Hatari sana mkuu ndio maana nami naenda taratibu na Kama nitakosa nitafikia hotelini kwanza Kama one week hivi nitakuwa nimepata Nyumba ya uhakika kuliko kuhangaika na matapel ya kibongo
 
Ok ipo maeneo gani hii
Kutofautiana bei wakati mwingine ni ishu ya marketing tu, sio kigezo cha utapeli.
Ukiona nyumba imetangazwa kwa bei tofauti lakini range yake sio kubwa, iyo ni marketing tu: mfano iyo nyumba inawezwa kutangazwa na madalali tofauti kwenye 2M --- 1.7M, Usishangae ni ishu ya marketing tu
 
Ipo wapi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…