Chumba kama hiki kinahitaji shilingi ngapi kukamilika?

Hiyo nyumba ni kama 15 mpk 20M ila kama una 10M ianze tu utapiga mpk paa inabaki finishing tu. Angalau utakuwa na kitu kinaonekana

Pia ushauri kwa wajenzi wapya just anza tu usiwaze sana gharama maana nyumba kama hiyo ukiwa na say 12M unaweza kuhamia ukawa unamalizia ukiwa ndani kidogo kidogo. Wakongwe wanasema nyumba haiishi kila siku unajenga jenga tu mpk unaingia kaburini
 
Asante kwa kunitia moyo [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…