Chumba kikubwa ambacho kina Choo ndani pamoja na sebule yake kinapangishwa

Chumba kikubwa ambacho kina Choo ndani pamoja na sebule yake kinapangishwa

keikiu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
2,337
Reaction score
1,969
CHUMBA, SEBULE PAMOJA NA CHOO CHA NDANI KINAPANGISHWA

  • Chumba kikubwa ambacho kina Choo ndani pamoja na sebule yake kinapangishwa.
  • Kinapatikana Mbezi Mwisho karibu na stendi ya Magufuli, maeneo ya mtaa wa Muhimbili.
  • Hatuna dalali, fika kagua nyumba, lipia.

*Kodi ni 120,000 kwa mwezi.

Kwa mawasiliano: Piga 0659-358-599
20230422_123840.jpg
20230422_123858.jpg
20230422_124100.jpg
 
Back
Top Bottom