CHUMBA KIMOJA...baba, mama na watoto. Umaskini hatari!!!

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
18,042
Reaction score
19,787
... Jamani jamaniii....

Mke na Mume na watoto wao wawili walilala kitanda kimoja.... mmoja wa miaka 2 na mwingine wa kiume miaka 4.....
...Mapenzi yakaanza usiku....
...mara wakamuangusha mtoto ule wa miaka 2...wakamuokota....
... yule wa miaka 4 akashtuka kuona mdogo wake analia .... basi akajua...
mara kulivyotulia.... wazazi wakaanza tena mapenzi. .

BASI YULE MKUBWA AKAONGEA KWA SAUTI.... ** FRANK JISHIKILIE VIZURI WAMEANZA TENA....*** aaaiiii.....!!!!!
 
Duh!!! Hii peleka jukwaa la jokes.
 
Yaani nipo kwenye kongamano afu nimecheka sana,duh!
 
hahahahhahahahhaahaaaa watoto awawez kuharb starehe za wazaz
 
Ni shida tu lakini wazazi hawapashwi kulala chumba kimoja na mtoto,isipokuwa anayenyonya tu.
 

hahahaaaaaaa
 

Umetisha bob
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…