CHUMBA KIMOJA...baba, mama na watoto. Umaskini hatari!!!

na km asingeshutuliwa angeangushwa tena maana kulikuwa hakuna namna nyingine
 
Wangekuwa wanafanyia chini au wawalaze wattoto chini
 
Hahahahaaahaaa! Frank jikaze utakatwa wameanza tena kuchuja majina
 
Hyo kali nimecheka xn jikajsahau kama nipo choon
 
Ha ha ha ha haaaaa duh huyo dogo kw hacra unamtoa alale nje mpaka asubuhi mana keshakua ati!
 
Hii ilishwahi kutoka kwenye gazeti fulani miaka ya 1990s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…