House4Rent Chumba kimoja kinapangishwa Mbezi Beach

House4Rent Chumba kimoja kinapangishwa Mbezi Beach

Playman

Member
Joined
Jan 1, 2021
Posts
67
Reaction score
18
Chumba kimoja, Choo cha nje.
------------------------
Maji ya dawasa, Umeme Luku yakuchangia, Uzio na usalama Upo.
------------------------

Bei Tshs 50,000 Kwa Mwezi
Kodi ya Miezi 6
------------------------

Wasiliana nasi: 0686648630 || 0716442950
IMG_20210412_121304.jpg
 
Karibuni Mbezibeach, Kata ya Mbezi Juu, Mtaa wa Mbezikati

IMG_20210412_121231.jpg
 
Kha jamani hata hiyo sakafu huko chini vipi. Hata kama ni 50 ila aweke sakafu ya kueleweka bas jamani
 
Back
Top Bottom