MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Unacho sehemu gani? Kuna vingine vipo nje ya mji hata elfu 40 unapata.Hivyo vyumba vya aina hiyo vizuri vinaanzia 75k-100k...
Sh.ngapi kwa mwezi?Zipo master bedrooms 3, ni mpya
Gari moja hadi town
Location: kitunda
Mbona hujibu pm? Toa no. ya simuTsh 60,000/ per month
Mbona hujamwambia ukwel?
KIMESHAPATIKANA.Kipo mkuu.
Eneo: Visiwani- Kigamboni
Kodi: 60000
Karibu na barabara kuu ya kuelekea feri.