Chumba kinahitajika kuanzia august mosi (sinza, ubungo, shekilango, kijitonyama)

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
1,072
Reaction score
189
Habari za kazi
Binti wa kitanzania anatafuta chumba kwa ajiloi ya kupanga nyumba maeneo ya SINZA, KIJITONYAMA, SHEKILANGO na UBUNGO.
Bei kwa mwezi kuazia 50,000/= hadi 80,000 kwa mwezi kulingana na huduma iliyopo (choo, maji, umeme n.k)Mpangaji anatarajia kuanza kusihi makao mapya kuanzia tarehe 1/8/2014

Kama una taarifa tafadhali ni-PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…