LastChance
Member
- Mar 16, 2020
- 26
- 16
Habari wakuu.
Kinahitajika Chumba na Sebule cha kupanga jijini Dar es Salaam maeneo yoyote lakini upande wa Mbezi mpaka ubungo na njia ya Goba.
Budget ni laki moja kwa mwezi.
Karibu PM kwa mawasiliano
Asanteni
Kinahitajika Chumba na Sebule cha kupanga jijini Dar es Salaam maeneo yoyote lakini upande wa Mbezi mpaka ubungo na njia ya Goba.
Budget ni laki moja kwa mwezi.
Karibu PM kwa mawasiliano
Asanteni