the numb 1 JF-Expert Member Joined Dec 15, 2020 Posts 1,562 Reaction score 2,902 Sep 12, 2021 #1 Chumba kinapangishwa kigamboni daraja la nyerere kodi elfu 60 mkataba miez 6 main road mpk kilipo ni mita chache sana Umeme matumizi yako na bill ya maji 3000 kwa mwez Haina udalali muhusika mkuu ni mm mwenyewe Mawasiliano 0620149421
Chumba kinapangishwa kigamboni daraja la nyerere kodi elfu 60 mkataba miez 6 main road mpk kilipo ni mita chache sana Umeme matumizi yako na bill ya maji 3000 kwa mwez Haina udalali muhusika mkuu ni mm mwenyewe Mawasiliano 0620149421
dojonase JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 1,692 Reaction score 2,312 Sep 13, 2021 #2 Fanya 50 niamie mimi nipo kisiwani hapa
the numb 1 JF-Expert Member Joined Dec 15, 2020 Posts 1,562 Reaction score 2,902 Sep 14, 2021 Thread starter #3 dojonase said: Fanya 50 niamie mimi nipo kisiwani hapa Click to expand... Hapan mkuu bei 60k haipungui na umeme matumizi yako na mm sio dalali ni muhusika mkuu km utakuwa tayar kwa hilo nijuze
dojonase said: Fanya 50 niamie mimi nipo kisiwani hapa Click to expand... Hapan mkuu bei 60k haipungui na umeme matumizi yako na mm sio dalali ni muhusika mkuu km utakuwa tayar kwa hilo nijuze
I Islam005 JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,354 Reaction score 3,623 Oct 27, 2021 #4 hakuna mwenye chumba kigamboni? isiwe mbali na ferry