Habari! Kuna chumba kinapangishwa maeneo ya Buguruni kwa Mnyamani. Chumba hicho nilimpangia dada angu ambaye alikuwa anatoka mkoani kuja Dar, lakini kwa bahati mbaya akapata majukumu mengine huko mkoani ivyo hawezi kuja tena.
Chumba kimekaa miezi miwili sasa bila mtu. Nililipia kabisa miezi 4 sasa imebaki miezi miwili. Kama kuna mtu anayehitaji anaweza kunitafuta kwenye namba 0686128483. Huduma zote za msingi kama maji na umeme vinapatikana.
Kodi ni 50, 000/= kwa mwezi. Ivyo atakayehitaji awe tayari kunirudishia laki moja, japo naweza punguza hadi 80,000/= maana ishakuwa hasara tayari. Nimelipia alafu mlengwa hakufika.