emanuel kihongosi
Member
- Jul 2, 2017
- 37
- 9
Habarini ndgu nakuja jukwaani nikitafuta chumba kwa makazi kwa watu Wa iringa mliopo mtaa Wa kihesa karibu na barabara kuu ya iringa Dodoma nahitaji chumba kwa ajili ya kuishi bei maelewano ila bei isizidi 30000/= ahsante mawasiliano haya WhatsApp namba 0766512884
choga
choga