House4Rent Chumba masta na Sebule - Mbezi Beach

Dalali Alpha

Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
89
Reaction score
60
Chumba masta pamoja na sebule.
Ipo ndani ya fensi, Maji ya dawasa, parking ipo na ipo jirani na kituo cha dalala dakika tatu kutembea..

Inakuwa wazi tarehe 1/5/2021
Wahi

Bei: Tshs 150,000/Mwezi

Piga: 0686648630

 
Iko wazi
INAPANGISHWA CHUMBA ( APARTMENT )
Mahali: Mbezibeach, Dar es Salaam
Bei: Tsh 150,000 kwa Mwezi,
Malipo: Kodi ya Miezi 6

FEATURES:
Chumba kimoja ambacho ni Masta pamoja na Sebule.
Choo cha wageni kipo nje.

FACILITIES:
Maji ya dawasco 24hrs
Uzio na fensi
Eneo la kuegesha gari
Usalama wa kutosha
Dakika la tano hadi kituoni

CALL US: 0686 648630
 
Mbezibeach ya Mkoa wa Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni
Sijasema ya Tanzania sehemu gani mkuu, Mbezi beach kubwa kuna Tangi bovu, kwa Zena, Mbezi beach ya juu, Makonde, Karibu na afrikana, Jogoo, Rainbow na zingine nyingi. We sema Mbezi beach sehemu gani simple tu mbona.
 
Sijasema ya Tanzania sehemu gani mkuu, Mbezi beach kubwa kuna Tangi bovu, kwa Zena, Mbezi beach ya juu, Makonde, Karibu na afrikana, Jogoo, Rainbow na zingine nyingi. We sema Mbezi beach sehemu gani simple tu mbona.
Wewe Unataka MbeziBeach maeneo gani?
 
Bora umwambie aisee.

Hawa ndio wanafanya madalali wanaonekana wababaishaji. We umeamua kuweka Tangazo la biashara alafu unaficha baadhi ya habari shida nini kama sii unataka kuwaliza watu. Anahisi kila mtu haijui Mbezi beach. Anaficha hivi ili akwepe maswali
 
Wewe ni Dalali, nakujua
 
Nayeye Kama yupo serious, aseme anataka mbezibeach sehemu gani ili nijue namsaidiaje..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…