House4Rent Chumba Masta na Sebule_ Mbezibeach

House4Rent Chumba Masta na Sebule_ Mbezibeach

Joined
Sep 25, 2016
Posts
76
Reaction score
20
Mahali: Mbezibeach Tangibovu
Bei: Tshs 150,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6.
N.B: Malipo ya Mwezi mmoja kwa dalali ( 150000 )
Mawasiliano: 0686 648630

Chumba choo ndani na Sebule. Choo cha nje Kipo.
Ndani ya fensi geti, Umeme luku wawili, Maji dawasa masaa 24 Kuchangia bill, Karibu na kituo cha daladala tangibovu(dakika tatu kwa mguu).

20211101_083946.jpg
20211101_083821.jpg
20211101_083736.jpg
20211101_083909.jpg
20211101_083715.jpg
 
Ifikie hatua tuache kutumia vyoo vya kuchuchuma
Wenye msiweke vyoo hivi vyoo vya kukaa vizuri kiusafi pia
 
Vyoo vya kukaa sio vizuri kwa taarifa yako,mzigo hua haushuki wote,matekeo yake uchafu unabaki kwenye utumbo huko na kuleta cancer ya utumbo!! Pia choo cha kukaa,unaposhusha mzigo,yale maji hua yanaruka yanakuja kugonga kwenye makalio,mwisho wa siku unaugua fungus bure na UTI bure! Labda kama una shida za kiafya hapo sawa
Vyoo vya kukuchumaa vinatia kinyaa
 
La kama hakifanyiwi usafi wakutosha! Kinapigwa usafi mzuri kabisa kila siku,mbona ndiyo vizuri,hivyo vyakukaa mtu akishusha mzigo na akaacha kuflash,aiseeee,ukisogea tu mzigo huo
Vya kukaa ndio vizuri
 
kumbe mbezi beach hizi nyuma za kwetu nazo zipo ?
 
Back
Top Bottom