dalali Mwanafunzi
Member
- Sep 25, 2016
- 76
- 20
Vyoo vya kukuchumaa vinatia kinyaaVyoo vya kukaa sio vizuri kwa taarifa yako,mzigo hua haushuki wote,matekeo yake uchafu unabaki kwenye utumbo huko na kuleta cancer ya utumbo!! Pia choo cha kukaa,unaposhusha mzigo,yale maji hua yanaruka yanakuja kugonga kwenye makalio,mwisho wa siku unaugua fungus bure na UTI bure! Labda kama una shida za kiafya hapo sawa
Vya kukaa ndio vizuriLa kama hakifanyiwi usafi wakutosha! Kinapigwa usafi mzuri kabisa kila siku,mbona ndiyo vizuri,hivyo vyakukaa mtu akishusha mzigo na akaacha kuflash,aiseeee,ukisogea tu mzigo huo
Una poo huku unachart[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Alafu cheki bei sasa. Yani mambo ya Mbezi Beach bana!nyumba imechoka mnoo