Chumba master pamoja na sebule vinapangishwa

Chumba master pamoja na sebule vinapangishwa

biznes_dealz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
392
Reaction score
153
CHUMBA MASTER PAMOJA NA SEBULE VINAPANGISHWA
*Inapatikana Mbezi Mwisho, mtaa wa Muhimbili karibu na stendi mpya ya mabasi ya mikoani.
*Nyumba ina tiles, gypsum, maji yanapatikana
*Gari inafika mpaka mlangoni

*Kodi kwa mwezi ni Tshs. 120,000

Tuwasiliane: 0659-358-599

Nyumba haina dalali fika, kagua na lipia kwa mwenye nyumba
 
Attachments

  • 20230422_124100.jpg
    20230422_124100.jpg
    444.8 KB · Views: 16
  • 20230422_123924.jpg
    20230422_123924.jpg
    626 KB · Views: 16
  • 20230422_123858.jpg
    20230422_123858.jpg
    315.5 KB · Views: 17
  • 20230422_123840.jpg
    20230422_123840.jpg
    231.6 KB · Views: 17
Wewe ni mwenye nyumba au dalali?Kodi miezi mingapi?Kinaonekana kipo vizuri kamaa ndio hicho!
 
Muwe mnajifunza kuweka mazingira ya nje. Unaweza kuta nyumba iko tandare karibu na jalala. Ongeza picha za nje
 
hiyo nyumba unapewa ma furniture au mbwembwe za tangazo tuuh
 
Ahsanteni sana, chumba kimeshapata mtu na kashalipia, deal closed.

Amemaliza mkataba, anahitajika mpangaji mpya.
 
CHUMBA MASTER PAMOJA NA SEBULE VINAPANGISHWA
*Inapatikana Mbezi Mwisho, mtaa wa Muhimbili karibu na stendi mpya ya mabasi ya mikoani.
*Nyumba ina tiles, gypsum, maji yanapatikana
*Gari inafika mpaka mlangoni

*Kodi kwa mwezi ni
Tshs. 120,000

Tuwasiliane: 0659-358-599

Nyumba haina dalali, fika ulipie kwa mwenye nyumba

Anahitajika mpangaji mpya, wahi mapema kabla hujachelewa
 
Muwe mnajifunza kuweka mazingira ya nje. Unaweza kuta nyumba iko tandare karibu na jalala. Ongeza picha za nje
Nyumba haiwezi kuwa Tandale ndugu, ipo mtaa wa Muhimbili njia ya kuelekea Goba, gari inafika mpaka mlangoni, nyumba ina maji ya dawasa, mazingira mazuri na salama kwa kuishi.
 
Back
Top Bottom