biznes_dealz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 392
- 153
Okay kamanda ahsante, nimekupataunapangisha chumba,unapiga picha vitanda,asee kuwa serious basi
Afu Hela Nyeupe tu.Wewe ni mwenye nyumba au dalali?Kodi miezi mingapi?Kinaonekana kipo vizuri kamaa ndio hicho!
okay kiongoziMuwe mnajifunza kuweka mazingira ya nje. Unaweza kuta nyumba iko tandare karibu na jalala. Ongeza picha za nje
okay kiongozi, mazingira ni mazuri sana ondoa shakaSidhani kama hiyo ni picha halisi...piga nje tuone
mimi ni mwenye nyumba, hakuna udalaliAfu Hela Nyeupe tu.
Kodi ni miezi 6 na mimi ndio mwenye nyumba sio dalaliWewe ni mwenye nyumba au dalali?Kodi miezi mingapi?Kinaonekana kipo vizuri kamaa ndio hicho!
Furniture hakuna unakuja na furniture zakohiyo nyumba unapewa ma furniture au mbwembwe za tangazo tuuh
Kwa maelekezo zaidi nipigie 0659-358-599Chukua laki moja
Nyumba haiwezi kuwa Tandale ndugu, ipo mtaa wa Muhimbili njia ya kuelekea Goba, gari inafika mpaka mlangoni, nyumba ina maji ya dawasa, mazingira mazuri na salama kwa kuishi.Muwe mnajifunza kuweka mazingira ya nje. Unaweza kuta nyumba iko tandare karibu na jalala. Ongeza picha za nje
Fanicha za kwako, hakuna fanicha/hiyo nyumba unapewa ma furniture au mbwembwe za tangazo tuuh