House4Rent Chumba na sebule inapangishwa

House4Rent Chumba na sebule inapangishwa

Dalali Alpha

Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
89
Reaction score
60
Chumba kimoja cha kulala pamoja na sebule.

Eneo: Mbezi Beach

Bei Tshs 100,000/Mwezi

Maji ya dawasa yapo masaa 24, Usalama Upo wa kutosha, Ipo umbali wa dakika 2 kutembea kwa mguu.

Tuwasiliana: 0686648630

IMG_20210419_152117_601.jpg
IMG_20210419_152117_541.jpg
 
Weka na picha za nje..tuone mazingira
 
Boss hii sio sehemu ya laki hata kama wewe ni dalali, sema 30x2 ndo bei halali kwa mazingira hayo,
 
Mkuu hizo ni luxury areas, nyumba ni low standard but huwezi kusema ndio iwe 30k×2.sisi tunakaa Tabata nyumba kama hiyo ni 30k×2+
Tunaishi kulingana na levels of income.
Kwa laki 1 chumba na sebule mbezi beach ni very reasonable.
Umeeleza vizuri
 
Back
Top Bottom