Chumba na sebule kinapagishwa.

Chumba na sebule kinapagishwa.

antho

Member
Joined
Jun 4, 2024
Posts
25
Reaction score
38
Kwa mtu anayehitaji chuma na sebule kinapagishwa tandika mashine ya maji,choo cha ndani,maji,umeme unapatikana.bei 150000 kuanzia miezi 3 na kuendelea.kuna geti pia ni karibu na barabara.
 
Mkuu hiyo location (Tandika mashine ya maji) itafukuza wateja wengi lakini nakuhakikishia mteja atapatikana tuu

Kikubwa tuendelee kutafuta pesa kwa bidii
 
Mkuu hiyo location (Tandika mashine ya maji) itafukuza wateja wengi lakini nakuhakikishia mteja atapatikana tuu

Kikuvwa tuendelee kutafuta pesa kwa bidii
Shukurani Mkuu pamoja
 
Back
Top Bottom