House4Rent Chumba na sebule kinapangishwa, 100K kwa mwenzi

Mr Peter2023

Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
8
Reaction score
4
Nyumba ipo Argentina karibu na kituo cha mwendo kasi gari inafika mpaka mlango jiko mnatumia watu wa wili na choo mnatumia watu waili maji yapo umeme kwa mwezi 20k unawaka 24h
 
Kumbe dar vyumba ndiyo shida hivyo sasa hiyo ni nyumba ya kulala au karakana.
Wewe umejenga ln hata hizo mbavu za mbwa auna umewekwa king'ast mwananyamala kisiwani kwa kupenda vizuri tunakujuwa
 
Argentina [emoji1033] mitaa ya kina messi kumbe nyumba rahisi hivyo [emoji276]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…